Make America Great Again

Mdahalo wa juzi haujabadilisha mtu ki mtazamo, mwisho wa siku kila watu walitoka wakasema wao ndo wameshinda.
Ila pamoja na kuskia Clinton alijiandaa wiki nzima, bado sikuona tofauti kubwa ya kujiandaa kwake.
Kila.mtu ana chance ya kushinda bado
Ndo maana kuna watu ambao wamewahi kushindwa midahalo lakini wakashinda urais.

Lolote lawezekana.
 
Mdahalo wa juzi haujabadilisha mtu ki mtazamo, mwisho wa siku kila watu walitoka wakasema wao ndo wameshinda.
Ila pamoja na kuskia Clinton alijiandaa wiki nzima, bado sikuona tofauti kubwa ya kujiandaa kwake.
Kila.mtu ana chance ya kushinda bado
Inamaana Trump yeye akujiandaa kabisa.????
 
Kuna mtu huko mwanzoni amedai haamini polls
Ajiulize why Hillary would waste her time by campaigning in TX, same for Trump in CA
 
Hizi ndo data zinazotakiwa. Tatizo ni kuwa wanasiasa ni wepesi kusahau sana!!!! Ashasahau kuwa mumewe alisema hivyo hivyo.... Si ajabu ukianda kwa Bill Clinton atakwambia " ni kauli ya kibaguzi"
 
Ubaguzi wa Trump haupo kwenye slogan yake, bali he is a racist, alikataa kuwakodishia nyumba watu weusi, na kampuni yake na baba yake walipelekwa mahakamani. Katika mashirika yake wafanyikazi weusi no wachache sana, na katika position za juu ndani ya managements yake watu weusi hawapewi nafasi. Ukiangalia mazungmzo yake ni ya kibaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…