Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,112
- 143,524
Ndiyo Siasa na Wanasiasa. Wanasiasa husema kulingana na hadhira na nyakati zilizopo. Siamini kama wale strategists wa vyama kwenye kampeni kama kazi yao ni kupanga mikakati ya kujenga Taifa kwa maana yenyewe hasa. Hapana.
Kazi yao ni kusoma akili za wapiga kura na kupanga namna ya kucheza nazo kwa manufaa ya wagombea wao.
Wanasiasa wanafanana kwa mengi ila wanatofautiana kidogo.Halafu utashangaa sasa wanazi wa Hillary watavyokana kuwa Bill hakuwahi kusema 'make America great again'.
Ndo yaleyale ya Lowassa....miaka nenda rudi watu wamemponda kuwa ni fisadi halafu mwisho wake ndo anakuja kuwa mgombea wao wa urais.
"We wanna take our country back"
Inategemea ametamka hayo maneno katika muktadha gani?Jinsi anavyotamka Trump ni kibaguzi zaidi.Sera za trump ni za kibaguzi zaidi.Trump akitoka kidedea itaashiria wamerekani wengi bado ni wabaguzi.
Wamarekani walio wengi sio wabaguzi.
Ingekuwa ni wabaguzi Obama asingeshinda hata jimbo moja!
49er QB Collin Karpenick is one angry dude
Obama alishinda kwa sababu ya kura za walatino, weusi na wazungu wasio kuwa na ubaguzi wa waziwazi.Wamarekani walio wengi sio wabaguzi.
Ingekuwa ni wabaguzi Obama asingeshinda hata jimbo moja!
Obama alishinda kwa sababu ya kura za walatino, weusi na wazungu wasio kuwa na ubaguzi wa waziwazi.
Trump amefanikiwa kuibua tena hulka na silika za kibaguzi kwa weupe wengi ata wale waliompigia kura Obama.
Unajua jinsi rais wa Marekani anavyochaguliwa wewe?
Hapo chini ni baadhi ya majimbo aliyoshinda Obama. Haya twende kwa facts...niambie asilimia ya minorities na wazungu katika hayo majimbo....
Oregon kuna Walatino na weusi kiasi gani?
Washington state kuwa minorities kiasi gani?
Iowa kuna minorities kiasi gani?
Illinois kuna minorities kiasi gani?
Wisconsin kuna minorities kiasi gani?
Minnesota kuna minorities kiasi gani?
Virginia kuna minorities kiasi gani?
Michigan kuna minorities kiasi gani?
Maine kuna minorities kiasi gani?
Akikujibu nishitue
Wewe nyani ngabu sema usemacho lakini majority of Republican, conservatives, Tea party, political right, southerners, anti immigrant etc wengi wao ni racists na wanaamini in social inequality na ndio supporter wakubwa wa Trump,what is the point for Trump to say Mexican wakija US wanaleta magonjwa na crime wangekuwa wazungu wenzake angesema hivyo? na akili ya kina Trump na wafuasi wake wanaamini welfare ni kwa minority tuu kumbe wazungu kwa millions nao wamo tuu,you don't need to be genius kuona ubaguzi wa Trump na watu wake maana ni wazi wazi kama wewe huoni lazima utakuwa na issues huko kichwani