Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.
Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari