Inawezekana watu wengi hatuna uelewa na suala hili,
kuna ubishi unaendelea hapa juu ya familia ya rais inaishi wapi, wapo wanaosema anaishi ikulu na wapo wanaosema anaishi upanga.
Je mwenye uelewa makazi ya rais yako wapi?

Halafu ukifahamu makazi ya Rais ndio itakuwaje? Unapata cheti au tuzo? BTW, ni Rais gani na wa nchi gani unayemuongelea? Kama ni Rais wa kwanza wa Tz makazi yake yalikuwa/yako Msasani na Butiama, kama ni Rais wa pili makazi yake yako Msasani/Mikocheni, kama ni Rais wa tatu makazi yake yako Lushoto na Mtwara, kama ni Rais aliyepo madarakani basi chagua jibu sahihi kati ya haya:-Nilichokiona hapa kuwa wengi hatufahamu yalipo makazi ya rais na familia yake!
Halafu ukifahamu makazi ya Rais ndio itakuwaje? Unapata cheti au tuzo? BTW, ni Rais gani na wa nchi gani unayemuongelea? Kama ni Rais wa kwanza wa Tz makazi yake yalikuwa/yako Msasani na Butiama, kama ni Rais wa pili makazi yake yako Msasani/Mikocheni, kama ni Rais wa tatu makazi yake yako Lushoto na Mtwara, kama ni Rais aliyepo madarakani basi chagua jibu sahihi kati ya haya:-
(a) Angani (yaani kwenye ndege)
(b) Nje ya mipaka ya Tanzania (ambako hata sasa yuko huko)
(c) Msoga, Bagamoyo
(d) Dar, karibia na ofisi za Engender Health Morocco
(e) Ikulu, Dsm
(f) None of the above

Hahahahahaa Unapata wapi muda wa kubishania vitu visivyo na tija kwa wananchi,kwanza ni Rais yupi unamuongelea,,maana kuna rais wa TFF,CWT rais wa manzese ww unamzungumzia yupi???