Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 648
- 1,411
Tafadhali onesha namba ya mita na tarehe uliyonunua tukupatie ufafanuziTANESCO makato ya kodi yanakatwaje
Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa
Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
Sawa nawatumia PM manunuzi yote yamefanyika ndani ya mwezi mmojaTafadhali onesha namba ya mita na tarehe uliyonunua tukupatie ufafanuzi