Makato ya Jay milioni

Makato ya Jay milioni

jngowi

Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
35
Reaction score
30
Jamani nimekua nikikatwa pesa kila siku za kushiriki Jay milioni ya vodacom pasipo mim kuridhia. Nimeshtukia hili baada ya kuona salio limeisha na Jana nilijunga na kifurushi cha wiki. Nimewapigia customer service ndio wakanieleza nakatwa kwa kushiriki Jay milioni . Je Wandugu kuna mwingine kakutana na dhahma hii?
 
Hata mimi pia ...nimekuwa nikikatwa bila kujiunga.. ukiuliza wanasema ukatoe malalamiko kwenye cervice centers zao.. inakera sana.. yani ukiwa na salio kwenye simu tuu unakuta limepungua..
 
Andika Neno ONDOA kwenda 15544. Utakuwa umejiepusha na dhahama za jay mil
 
Jamani nimekua nikikatwa pesa kila siku za kushiriki Jay milioni ya vodacom pasipo mim kuridhia. Nimeshtukia hili baada ya kuona salio limeisha na Jana nilijunga na kifurushi cha wiki. Nimewapigia customer service ndio wakanieleza nakatwa kwa kushiriki Jay milioni . Je Wandugu kuna mwingine kakutana na dhahma hii?

Tatizo mnakua natamaa ya utajiri wa halaka kila siku humu mnaambiwa huo niwizi kama wizi mwingine hamsikii sasa hivi mnalialia ninini?endeleeni kuwachangia wenzenu wananunua magari wanajenga magorofa kwa taarifa tu hiyo michezo yabatinasibu haina tofauti na desi
 
Nimejaribu kujiondoa wamejibu promotion hii imeisha.
 
Kama promotion imeisha kwa nini wanakukata?
Na ninyi mnapenda mteremko kupata utajiri ulijiunga ili iweje??
 
Tatizo mnakua natamaa ya utajiri wa halaka kila siku humu mnaambiwa huo niwizi kama wizi mwingine hamsikii sasa hivi mnalialia ninini?endeleeni kuwachangia wenzenu wananunua magari wanajenga magorofa kwa taarifa tu hiyo michezo yabatinasibu haina tofauti na desi

Mwalimu wangu wa Hisabati kidato cha tano na sita wakati akitufundisha Probability alituasa kujiepusha na michezo ya Bahati nasibu.Huwa sibet wala sishiriki bahati nasibu yeyote
 
Back
Top Bottom