Makato NMB mkononi to Lipa namba

Makato NMB mkononi to Lipa namba

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,297
Reaction score
1,861
Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni muongozo please🙏😁.
 
Mwenyewe hiyo kitu nimeiona week mbili zilizopita,kuna siku nilifanya muamala wa elfu 90 nmb kwenda tigo lipa,nikacheck salio langu la nmb halikua sawa,nikavuta statement nikaona wamekata fee charges ya hiyo huduma ya lipa.
 
Nenda kachukue bank statement angalia jamaa wana makato mengi mengi usifanye mchezo!!!!
 
Duh sasa me niliyefanya muhamala wa 1mil+ kwenda Airtel Lipa ngoja nisubiri statement yao
Nikitudi bonho nahamisha pesa zote kwenda selcom pesa
 
Kweli mkuu kuna kitu hakipo sawa
 
Duh sasa me niliyefanya muhamala wa 1mil+ kwenda Airtel Lipa ngoja nisubiri statement yao
Nikitudi bonho nahamisha pesa zote kwenda selcom pesa
Subiri maumivu mkuu
 
Kweli wakuu imeangaliwa bank statement kuna kitu wanaita VAT payable on masterpass wanalamba vibaya mno
 
Back
Top Bottom