Makarani wa Uchaguzi Kenya wakamatwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Mzozo wa Kidiplomasia Umeibuka Kati ya Kenya na Uganda Baada ya Walinda Usalama wa Uganda Kuwakamata Makarani wawili wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Kenya Wakiitwa George Odhiambo na Wilikister Alao Waliokuwa Wakiandikisha Wapiga Kura Kwenye Kisiwa Maarufu cha Migingo Kilichopo Kwenye Jimbo la Nyatike nchi (Kenya).

Wanausalama hao waliwatuhumu makarani hao kuingia nchi ya ugeni pasipo kufuata taratibu huku tayari wakiwa wameshaandikisha wapiga kura watano
otwbqij50ovyvolu56dfe78ee04f7.jpg
 
Duh hicho kisiwa ni hatari, hakuna choo hapo, magogo yote yanaishia kwenye maji.
 
Back
Top Bottom