Makarani wa sensa wilaya ya uyui,mkoani tabora watelekezwa na serikali bila malipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makarani wa sensa wilaya ya uyui,mkoani tabora watelekezwa na serikali bila malipo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Aug 19, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo ni siku ya pili makarani wa sensa wilaya ya uyui katika mkoa wa tabora wanakaa toka asubuh mpaka saa 12 jion na kurud kwenye magest waliyofikia bila kuwa na chochote.Bila kujali uwepo wa sikuku ya Eid mpaka sasa sa kumi na moja na Nusu tunamsubilia mgeni aje AFUNGE MAFUNZO Hali ya kuwa Hatuna Pesa...KUMBUKA Semina imefanyika mjini Sehemu ambayo ni mbali na makazi ya wanasemina...CHANZO MIMI MWENYEWE MWALIMU WA SHULE YA MSINGI
   
 2. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dah kaja mkuu wa wilaya anasema pesa juma nne ya wiki ijayo.twaweza kufa
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hujala KIAPO cha kutunza siri...!?
   
 4. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  utatunza siri wakati huna hela....hakuna kitu kama hiyo mkuu.tumeambiwa pesa mpaka j4 ndo inatoka...tupo guest house...tunalipa nini?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi hii serikali kama haikujiandaa na sensa si waache tu
   
 6. I

  IKUKATITI Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawa jamaa walikurupuka matatizo hayo yapo karibu kila mahali palipo fanyika hizo semina za sensa kwa nchi nzima na sidhani kama kutakuwa na ufanisi katika zoezi zima.
   
Loading...