Nimekuzimikia mie, nataka nijidai kama wenzangu wanavyonilingishia.Utaificha ilipokuwepo. Acha maneno mwaga sera!
HapanaaUnanisemea?
Akifika unishtueNamsubiri mrembo hapa kituoni.
Umeona eeh!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Hapana ni kweli sichocheiWe mchochezi
kafanyajeCc.shunie
Karibu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15].
Mawaona nawaona mawaonaaa Makapuku!!!
Hebu subiri. Nakuweka kwenye waiting list.Nimekuzimikia mie, nataka nijidai kama wenzangu wanavyonilingishia.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] kuhusu nn??mimi na wewe tena ?
Upo na nani shedede?Tupo
Baby mm nakupenda wewe tu hakuna mwengineCc:husna muba ebu njoo mamy ujibu hizi tuhuma
Sawa umeshindaHapana ni kweli sichochei
Usirudie tena [emoji51][emoji51][emoji30][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nsamehe bure. Si nimepagawa kwa demi hadi nachanganyikiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiku bila ubuyu unawezekana!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Emmyguy nilijua jina la kike
Popote ulipo emmyguy pardon me [emoji120]
uko poa lakini mrembo ?Okeee
O.O.k. niote bby yake[emoji8]Umeona ee..?!
Asante baby na we chukua hii
[emoji8]
Baby mi nalala now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]achana nao make wote hao wamekutana pasua kichwa wana nyota ya kukimbiwaa
Aiseee hii mpya nahisi kufashunie alinikimbiaa ..ntafanyaje sasa na mimi nina moyo