10/Zi
Huyu ni binti wa Mimi Zi(nitamuelezea post #6l
Alijifungua mwaka1893 akiwa na umri wa miaka 8 na miezi 8
Alipewa ujauzito na Chifu Akhiri
.......
9/Hilda Trujillo
Huyu ni binti wa Kiperu
Alibahatikakujifungua akiwa na umri wa miaka 8 na miezi 7
Hii ilikuwa ni mwaka 1957
Alipewa ujauzito na kijana mwenye umri wa miaka 22
.....
8/ Anna
Huyu ni binti wa Kirusi aliyeshikilia rekodi ya mama mwenye umri mdogo zaidi huko Ulaya ya mashariki kwa takribani miongo 6 baada ya kujifungua akiwa na umri wa miaka 8 na miezi 7
Alipewa ujauzito na dogo wa miaka 13
......
7/Colombian Girl
Picha ni ya mfano tu
Huyu binti wa kicolombia hakutaka kujulikana kwa sababu maalumu
Alijifungua mwaka 2004 mwezi sept
Polisi ndio waliomgundua wakati akiwa na ujauzito
Alijifungua akiwa na miaka 8 na miezi 5
.......
6/Mum Zi
Ni binti Wa Kinigeria aliuejifungua mwaka 1884 akiwa na umri wa miaka 8 na miezi 4
Mwanawe ndo hiyo wa kwenye # 10
Yeye pia alipaewa ujauzito na Chofu Akhiri
....
.
4/Unidentified Indian Girl
Ni msichana aliyefichwa utambulisho wake huko India
Alifariki wakati alijifungua pamoja na mwanawe
Ilikuwa mwaka 1933
Alikuwa na umri wa miaka 8
......