Makapuku Forum

6/[War of Stray Dog 1925

Hii vita ilikuwa baina ya Ugiriki na Bulgaria ikihusu mzozo wa kimipaka
Ilianza baada ya askari wa Bulgaria anayelinda mpaka kummuua mwanajeshi wa Kigiriki aliyekuwa amevuka mpaka wakamfukuza mbwa wake hivyo kuibua balaa kubwa baina ya nchi hizo mahasimu
Ngogoro/vita ikaja kisha baada ya kusuluhishwa na Umoja wa Mataifa(League of Nations)
Hii vita ilidumu siku 11
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…