Tongotongo la Asubuhi
Nepal ndo nchi pekee duniani benders isiyo na pembe NNE(mstatili)
Nepal inapatikana Kusini mwa Asia kati ya Tibet na India
Sasa sijui aliyebuni hiyo bendera alikuwa amevuta bangi gani hadi mupitisha mkasi na kuifanya iwe na umbo hilo
Asubuhi njema
..............