Nilipata tu kuona highlights za hiyo game I was so kid by that timeBila kusaha goli lake dk za majeruhi dhidi ya Bayern Munchen ya akina Samuel Kuffour fainali ya UCL 1999 lililochangia Man Utd kuandika historian ya kubeba ndoo 3 kwa msimu na hivyo babu Fergie kupewa heshima ya Sir
......
ni kisa alikitungia nyimbo kilitokea tabata mpemba alivunja ndoa bada ya kuacha hela ndogo anakuta mazaga zaga mengiMpemba alifanyaje?
Tumegee kidogo
....
shikamoo RogieHabari za leo Makapuku..
Nipo mkuu sina miselePunguza misele huku jukwani unahitajika Sana hasa vionjo vyako
Mungu anapenda kwa lee tu kwingine hapendimungu hapendi
Avatar tu usiogope mama parokoUko banned ama ni avatar hiyo?
Marahabaa mtoto mzuri. Hujambo?Madam nakusalimia
Kiasi chakeNaona unaifanyia haki kazi ya faiza foxy
Nzuri mkuu karibuHabari za leo Makapuku..
Ndio maana ufungaji ni butueti siku hizi tunategemea akina Lingard
sio kweliMungu anapenda kwa lee tu kwingine hapendi
Shkamoooo babeOoh hapo sawa
[emoji6]Ooh hapo sawa
[emoji23] [emoji23] sijambo Dada mzrMarahabaa mtoto mzuri. Hujambo?
MahabaaShkamoooo babe
Asante kaka mzuri[emoji1][emoji23] [emoji23] sijambo Dada mzr
Unaongea maneno mazur kama ulivyo.... Natamani kukufahamu zaidiAsante kaka mzuri[emoji1]