Makapuku Forum

Asantee mkuu haya mambo tumeyamisi kapuku
 
1976 - Simone Inzaghi anazaliwa.

Straika wa zamani wa Lazio na timu ya taifa ya Italia.

Ni kaka wa Phillip Inzaghi, mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia.
Samahani mkuu[emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120] japo ni nje na unachokizungumzia apo juu please naomba kujua story kumuhusu mahatima

Japo kwa ufupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…