The Pursuit Of Happyness
Hii ni filamu ilivyochezwa takribani miaka 11 iliyopita, wahusika wakuu wakiwa ni Will Smith na mwanae Jaden, imechezwa mwaka 2006. Kuna mambo mengi yakujifunza katika filamu hii lakini kikubwa zaidi ni kuona jinsi mwanaume ukipigika hata mkeo aweza kukukimbia.
Katika filamu hii mwanaume anayeitwa Christopher Gardiner akiwa na mwanae wa kiume wanapitia katika kipindi kigumu, mpaka hata kufukuzwa kwenye nyumba.
Lakini pamoja na yote hakukata tamaa na hatimaye akafanikiwa kupata kazi.
Download hapo chini kwa torrent.
You are being redirected... 720p 750MB
You are being redirected... 1080p 1.5 GB
The Pursuit of Happyness - Wikipedia