Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Leo katika Historia:
1922 - Joseph Stalin anakuwa Katibu Mkuu wa Kwanza wa chama cha Kikomunist nchini Urusi.
Naona umeamua kutumia lugha ya picha
Yuko poaa...Mzima
Vipi mdogo wangu amelalaje jamani
1948 - Rais wa Marekani Harry S. Truman anasaini mswaada wa Marshall Plan wa Dola Bilioni 5 za Marekani ili kuzisaidia Nchi 16.
Mwambie nammissYuko poaa...
Na wewe pia mamyNawatakia jumatatu iliyo njema na Mungu awatangulie
[emoji1]siku ukianza kupiga masanga ndo utajua maana ya kutake things easy. Amen kwa mibaraka mama mchungaji
[emoji120]Ni siku njema Mungu ametupa
What do you expect!!!
AminaaaaaNawatakia jumatatu iliyo njema na Mungu awatangulie
Aminaa Baba mchungajiBwana Yesu asifiwe watu wa Mungu, natumai mko njema na mmeenda kuparangana basi niwatakie kila la kheri na Barka tele[emoji4]
Haya mapenzi si ya nchi hii!!!.....mpaka naona kama ile couple nyingine imepotezwa[emoji125] [emoji100]Morning my princess..
Morning roho yangu..
Hope bado umepumzika manake sio kwa kukesha huko..
Hubby loves sweetie...
Uwe na siku njema mama!
Loves you forever!
[emoji109]Morning family..
Morning kapuku's..
Nawatakia asubuhi njema wote wakuu..
Mu-enjoy week ya makapuku..