Mkuu umerudi kudandia mademu wa hapa Makapuku? Hapa ngoma nzito kwa sababu inavyoonekana kila aliyeko hapa tayari keshagandwa na njemba tena njemba zenyewe zina wivu wa ajabu nyegere cha mtoto. Endelea kujaribu bahati yako mkuu.
Mkuu umerudi kudandia mademu wa hapa Makapuku? Hapa ngoma nzito kwa sababu inavyoonekana kila aliyeko hapa tayari keshagandwa na njemba tena njemba zenyewe wivu wa ajabu nyegere cha mtoto. Endelea kujaribu bahati yako mkuu.