Na wameendeleza season 3 episode ya 10 make walibreak ikiwa ya tisa ila inazidi kupendeza kinomaaa
Inshort Andre kajiunga na shyne wakiwemo genge la frida linaloongozwa na Danger kama Frank ulivomcheki mikwara yake kujaribu kumuua Lyon uku cookie akibanjuliwa na Angelo ...