Hapana mm sikuhusika kabisa kumkoroga.
Nilikua nina kazi ya kutuliza watu flani hivi walikua wanatupiana maneono.
Ila hata Shunie nilimshauri ila nikaona yupo furious