Wimbo wangu wa sikuu[emoji444] Viongozi wenye maamuzi ya kiseng*.....wapoooooooooo
Viongozi waliofoji vyeti.....wapooooooo
Viongozi wavuta bangi.....wapoooo
Viongozi wenye maamuzi ya kukurupuka.....wapooooo
Viongozi wasio na marinda...wapoooo[emoji444]
Ney wa Mitego
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Naunga mkonyo hojaKapata mwingine make hachelewagi huyu jamaa
Tudanganye tunakunyanganya paprikaWait mkuu nitaziweka zote pamoja
"Unaweza kumuua mtu lkn sio fikra zake, Unaweza kumfunga mtu lkn sio fikra zake, Unaweza kumteka mtu lkn sio fikra zake" Benazir BhuttoWimbo wangu wa sikuu
Ndo true boy ninayemjua ??
Mkuu mpitie na Baghdad -usinipangie
Malkiaaa tunakuonaaaaNaunga mkonyo hoja
YaaaapNi ngoma mpya hiyo boss
Vizuri, kaza buti next time ushindeNzurii tu japo sijashinda chochote
Mi nilisema siku nyingi lakini[emoji87][emoji87][emoji85][emoji85]Malkiaaa tunakuonaaaa
HahaViongozi wasio na marinda...wapoooo
Kasoro wewe na tetra sioWatu wanalala mapema leo
MmmmhKasoro wewe na tetra sio
Shauri zako.....hela za kukupikia uji wa kukuletea keko hatunaHaha
Shauri zako.....hela za kukupikia uji wa kukuletea keko hatuna
Sakayo inabidi kesho nisiende kazini..Muwe na usiku mwema wote humu jamani!!! Loves you much.
T Nakupenda japo umebadilika, ulale salama mume wa Sakayo
Mkuu sasa hivi sina muda muda mwingi wa kuangalia movie..Mzee wa season
Pole sana shunie...nimepita kuwasalimia mara moja mm kidogo namshkuru Mungu naendelea vizuri nawapenda sana ila nampenda zaidi lee wangu na bila kumsahau dada sakayo
Nashkuru kwa maombi yenu [emoji120]
sante T wa sakayo nimeshapoaPole sana shunie...
Mungu akuponye