Makapuku Forum

Yaani sijui kichuya ana nini na yanga...

Kama mchawi vile....! Mtu anapiga goli sehemu usiyodhania anapiga goli..

Ile kona walionaga uchawi..

Hili goli la leo sijui wanajisikia vipi afu ndo la ushindi sasa..[emoji460][emoji460][emoji460]
 
Hili goli la leo watajiona wamekuwa misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…