Hivi kushinda jimbo mchezo? watu wanaroga wasipoteze majimbo yao alafu mpuuzi mmoja anakuja kujitangaza eti kashinda jimbo,
Mfyuuuu. Labda kalala kaota baby wangu nipo nae msibani ndo maana leo sipo online