Goodmorning makapuku
How are y'all?
Leo ni siku adhim ya mpenzi wangu
Bailly5 kuzaliwa amezaliwa Leo
Nisaidieni kumuwish a happy birthday
Bailly5 nakupenda sana Allah akupe maisha marefu nizidi kuyaona mepenzi Yako
Honey natafta maneno ya kukwambia but am running out of words
Nakupenda na nitakupenda milele