Makapuku Forum

Usiku mwema wanafamilia wa nguvu


MUHIMU:

**Usisahau kumshukuru MUNGU kwa kukuongoza kwa siku ya leo.

**Epuka michepuko kipindi hiki kwan ni hatari.

**Samehe wale wote waliokukosea mwaka huu.

**usisahau kushusha chandarua kabla ya kulala.


____post hii ni kwa hisani ya werrason mzee wa kushow love Pamoja na mtoto mzuri shunie
 
Na wewe piaa
 
Am humbled
u know
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…