Makapuku Forum

Nimeona kama mussolin yupo kifungoni au ni avatar kabadili
Ile ni avatar ya pambo tu profile linaonesha yupo km kawa
(lakini sina uhakika labda ndo kapigwa rungu muda mfupi uliopita maana hana kawaida ya kubadili avatar)

NB:
Siyo kila avatar ya BANNED ni ban.....wengine wanaweka wenyewe km fasheni tu

..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…