Makapuku Forum

anaruhusiwa kabisa ambao itawawia vigumu ni wale ambao hawana credit za kwenda a - level
 
Nime-COPY n PASTE


HICHI ni KIZAZI GANI
Malumbo Sambala

Wakati mwingne huwa najiuliza hichi ni kizazi gani!!!

Kizazi kinachopenda Dhambi, kizazi kisichopenda kusifia mazuri.......
Kizazi ambacho mtu akifanya vzuri hakimsfii lakini hakikosea kila mtu anamnyooshea kidole

Kizazi ambacho kina penda Uongo kuliko Ukweli
Ujinga kuliko Maarifa
Kizazi ambacho taarifa mbaya inasambaa kuliko taarifa nzuri........ We andika message nzuri ya Maarifa huone halafu andika message ya vitisho/magari yamegongana Au sijuhi nini Uone itavyosambaa

Kizazi kinachopenda habari za Udaku
Kizazi kinachopenda kuwa sema watu na kuwazungumzia
Kizazi kisichopenda kuwaona watu wakiendelea , maana kila mtu akiendelea ndio uumsema
Kizazi ambacho hakipendi wema
Kizazi kinachopenda ubinafsi

Kizazi kinachoona kumpongeza mtu Mwingne Kwa Kufanya vzuri ni kujishusha Thamani
Kizazi kisichopenda kuambiwa Ukweli
Kizazi ambacho kila mtu anataka Kufanya vitu kwa kuonekana.
Kizazi ambacho kinapenda kupoteza Muda
Kizazi kinachopenda Ubuyu/uongo mwingi na kamba/ujanja ujanja

Kizazi kinachopenda Kufanya vitu visivyokuwa na Umuhimu Mkubwa
Kizazi kinachotumia fedha zao Kwenye mambo ya muda mfupi kuliko Kwenye kuwekeza Kwenye mambo ya Muda mrefu
Kizazi kinachopenda kuishi kiujanja ujanja
Kizazi kinachopenda kushabikia mambo mabaya
Kizazi kinachopenda upumbavu
Kizazi kinachopenda mteremko
Kizazi kinachopenda kuwalaumu watu
Kizazi kinachopenda kuwatukana watu Kwenye mitandao

Amka wewe
Usiwe kama Kizazi hili
Toka Usingizini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…