Makapuku Forum

Tumeponea chupi chupiView attachment 421520ila mwisho wa siku tumezoa point 3.
Nimeangalia kwa jicho la 3
Vibonde Mbao Fc wa Usukumani wamefichua udhaifu wenu mkubwa
Hamna plan B ....
magoli yenu mechi nyingi yanatokana na mipira ya adhabu(kona,penati,freekick)
Ikirokea mkakutana na timu inacheza kikauzu mnashikwa kiurahisi maana hamna plan B mmezoea kucheza pasi fupifupi tu

Hongereni kwa pt 3
.......
 
Simba hawana kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…