Jambo jema kwa ArsenalJambo jema sana kutokufungana
Umeangalia ratiba?Jambo jema kwa Arsenal
Ila sisi lengo letu limetimia..
Acha tumalize kicheza mechi na haya majogooo after that tunaanza kiteleza kama tumekanyaga ganda la ndizi vile
Jumamos na watoto wa darajaniJambo jema kwa Arsenal
Ila sisi lengo letu limetimia..
Acha tumalize kicheza mechi na haya majogooo after that tunaanza kiteleza kama tumekanyaga ganda la ndizi vile
Kosa kubwa la man ni kutomuingiza Mata na kucheza kujilinda zaidiUmeangalia ratiba?
Next games
*Fenerbahce
*Man City
*Chelsea
*Burnley
Kwenda zakoKosa kubwa la man ni kutomuingiza Mata na kucheza kujilinda zaidi
Jambo jema kwa Arsenal
Ila sisi lengo letu limetimia..
Acha tumalize kicheza mechi na haya majogooo after that tunaanza kiteleza kama tumekanyaga ganda la ndizi vile
Walibahatisha tu, ngoja Diego mafujo jumapili akunyooshe kwakoKwenda zako
Ndio maana mlifungwa Emirates
Kawaida Liver hufunga kuanzia bao mbili kuwazuia siyo rahisi kivile halafu ushambulie tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Wamewapiga na Chelsea,LeicesterWalibahatisha tu, ngoja Diego mafujo jumapili akunyooshe kwako
Ndo hvyo bora tumalizane nayo tu..Umeangalia ratiba?
Next games
*Fenerbahce
*Man City
*Chelsea
*Burnley
Jumamos na watoto wa darajani
[emoji12] naongea na ww Diego Costa.Walibahatisha tu, ngoja Diego mafujo jumapili akunyooshe kwako
JM kaandika historia ila ni bora draw kuliko tungechapwa
Atajitahidi hatoweza kutufunga mzee yule [emoji1][emoji12] naongea na ww Diego Costa.
Kama hutaki nikutanie basi hyo J2 Usitufunge.
Ila ukitufunga nitakuandama huu msimu mzima
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Nitawafunga tu, si unanijua lakini na dogo will atakuwa amerudi[emoji12] naongea na ww Diego Costa.
Kama hutaki nikutanie basi hyo J2 Usitufunge.
Ila ukitufunga nitakuandama huu msimu mzima
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
ThubutuuuuuuAtajitahidi hatoweza kutufunga mzee yule [emoji1]
Aiseee, tuna match ngumu sana zinazotukabili..Atajitahidi hatoweza kutufunga mzee yule [emoji1]
Nadhani unatambua kuwa sisi Man U tuna beki imara sana..Nitawafunga tu, si unanijua lakini na dogo will atakuwa amerudi
Inauma ila hatuna cha kufanya ,ni kusubiri kulinda lango letu tupate pointi mojaAiseee, tuna match ngumu sana zinazotukabili..
Hii ratiba naona kama imetuonea vilee.
[emoji26] Why sisi?