Thanks jiraniMlikuwa nami CWT P.....Adios le familie
Pole kwa makombo[emoji39] Naaam!
Wacha nkamfanyie kazi usiku wa leo
Kuna harufu ya vipigo km viwili hivi[emoji2] Alishindwa kutumia fursa, sasa acha ateseke sasa
Poa, Mambo niajeee pande hizoMkuu mambo
Ni kweli kabisa, ila tusubiri tuone huenda wakaimarikaKuna harufu ya vipigo km viwili hivi
V City ni League Cup
V Fenerbahce ya RVP ni EUROPA
..............
Kumbukumbu murua kabisaGolikipa Paul Robinson
Danny Mills beki ya kulia
Oliver Dacourt alikuwa mido matata
Halafu huyo Iane Harte alikuwa hatari sana kwenye mipira iliyokufa japo alikuwa fullback wa kushoto.
Matumaini kawape waathirika wa UKIMWINi kweli kabisa, ila tusubiri tuone huenda wakaimarika
Huyo demu huwa anajishaua sana[emoji39] Naaam!
Wacha nkamfanyie kazi usiku wa leo
Liverpool je?Kuna harufu ya vipigo km viwili hivi
V City ni League Cup
V Fenerbahce ya RVP ni EUROPA
..............
Acha ajishaue lakini ndo hvyo lazma nimleHuyo demu huwa anajishaua sana
Kwema mkuuPoa, Mambo niajeee pande hizo
Rooney kwa sasa hana nafasi tena, na kupona kwa mhkytarian hvyo hawatapata nambaMatumaini kawape waathirika wa UKIMWI
Km kiungo atacheza Rooney na Fella tegemea vipigo vya goli nyingi
.........
TusubiriLiverpool je?
Chelsea utampiga nina uhakika huo
Senkyu...miss u tooPouwa kigli...missing you
Wazza anaboa sanaRooney kwa sasa hana nafasi tena, na kupona kwa mhkytarian hvyo hawatapata namba
[emoji23] wazza amekuwa sasa kama footballer wa kuchora vileeWazza anaboa sana
Domourinho nae kwani lazima ampange wkr kiwango kimeshukakm vipi amtafutie # kwenye BALL BOYS
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hivi ni nani yule?Huyo demu huwa anajishaua sana
[emoji23] ungechinja kabisa hata kondooTusubiri
Lakini hapo tukimaliza hizo game bila kipigo nitachinja bata mzinga ninayemfuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Maana chupi kubwaaa lote njeHuyo demu huwa anajishaua sana
Bitoz tatizo kubwa la wachezaji wa kiingereza wanakuwa na sauti kubwa sana huko nje ya uwanja na vyombo vya habariWazza anaboa sana
Domourinho nae kwani lazima ampange wkr kiwango kimeshukakm vipi amtafutie # kwenye BALL BOYS
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......