LucY: mambo kaka?
BoY: poa nambie mrembo lucy
LucY: kaka naomba unisaidie elfu 5 nikanywe angalau Azam juice na mihogo
.
BoY: , vipi Una boyfriend?
LucY: ndio ninae
BoY: sasa Dada lucy uliona wapi mteja wa Vodacom akahudumiwa na tigo?
.
*sipendi ujinga mimi*