Makapuku Forum

[emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621]
Ni saa 7 usiku mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi[emoji377]. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje akidai bafuni kuna majini. Watu wanakuja wanamkuta uchi. Wanamuuliza kulikoni, anasema kila akijimwagia maji kichwani nywele hazilowi. lazima bafuni kuna majini. kumwangalia vizuri kichwani kumbe kavaa HELMET. [emoji23][emoji23][emoji23].!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…