makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Na sisi wa dit je!!?```FACTS.
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM.
2.Ukiona Gheto lina tails,kabati kali,meza kali,funguo za gar,taa ya kusomea,laptop,shelf ya viatu na kifriji cha kishkaji UJUE huyu jamaa ni wa IFM.[emoji18][emoji110]
2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT.
3. Ukaona geto halina kitu ndani zaidi ya mkate wa bakheresa na kopo la maji UJUE huyu jamaa ni wa UDOM[emoji23][emoji121]
4. Ukaona geto lina visamaki vikavu mezani, Notes za kutosha mezani na jaba pembeni UJUE huyu ni MJAMAA WA MWENGE/MWECAU[emoji12][emoji185]
5. Ukaona geto lina Mawigi mengi na dressing table pembeni, ngazi ya kuwekea viatu UJUE huyu mjamaa ni wa RUCO IRINGA[emoji8]
6. Ukaona geto lina spray za kila aina, Nguo nyingi hasa za mitumba ambazo zimemodolewa mpaka tight UJUE huyu MJAMAA ni wa USHIRIKA MOSHI```[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaanzaje kwa mfano..Atakwambia nawe ubadili avatar ya pac[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
China nsharudi nipo bongo tu napigwa jua na upepo wa kiangaziHabari za China
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wife : Hallo mpenzi, mambo!
Husband : Poa baby!.
Wife : Uko wapi?
Husband : Mimi niko town napata lunch.
Wife : Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear, nataka uniletee msosi.
Husband : Narudi baada ya nusu saa tu. Nikuletee nini?
Wife : Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne yakaangwe pembeni, baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya Kilimanjaro.
Husband : Umesahau viti, meza, beseni, masufuria, sahani na vijiko.
Wife :Kwa nini dear?
Husband :Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiasi chakeupo vzr
Vip hali mamaa..Evening babaa
Pius msekwaChina nsharudi nipo bongo tu napigwa jua na upepo wa kiangazi
unampata Suge night?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia wewe..We na mmeo wanga nini!!!
Bora ungekimbiza kisiri siri tu, kuna watu wanapenda mashindano humu.. Siunaona hawaonekani saa hizi, ila wakisikia umetangazo bato tu, utwaona speed ya duma..NITOBOEEEEEEEEEEEE...??
(Audience) toboaaaaaaa
mwenzenu mimi, nmekuja kuvizia post ya 110k.
Nakaribisha ushindani. Let the battle begins[emoji123]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji41] ninalitambua hilo.. na ndo mana sitaki ushindi wa mezani, natala ushindaniBora ungekimbiza kisiri siri tu, kuna watu wanapenda mashindano humu.. Siunaona hawaonekani saa hizi, ila wakisikia umetangazo bato tu, utwaona speed ya duma..
Hahahahahah, umepotea mbali kabisaPius msekwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kasema ananitumia Voice note"
Nimemwambia atume na ya kutolea
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendagi ujinga Mimi[emoji23][emoji23]
Nipo sana.. japo nmepunguza fujo.Hahahahahah, umepotea mbali kabisa
Nsekwa ana udugu na pius msekwa ila yeye amekaa sana na wamakonde wamemuharbia jina...Pius msekwa
Yeah..unampata Suge night?
Hahaa.. Hope utabeba tuzo safar hii, umejidhatit kweli kweli[emoji41] ninalitambua hilo.. na ndo mana sitaki ushindi wa mezani, natala ushindani
Niko poa...micn yuuVip hali mamaa..