Kwa kweli.. Inabidi nikuache kwa huba moja zito, kama shukran ya muda wote tuliokuwa pamoja, imeandikwa tumeungana kwa heri kama kuachana tuachane kwe heri, sisi tuliungana kwa huba na tutaachana kwa huba.
Hatuendi guest bhana.. Sisi hadhi ya hotelin, kama lodge ni lodge zile za kando ya jiji kabisa.. Ipo moja kigambon hatar sana nje ya mji huko utamaliza vilio vyote hata jirani hasikii..