Makapuku Forum

Dizain kama yule mwanamke aliyezaa naye anamchafua mitandaoni na haelewi kwann wakati walishaachana anasema hiyo pia ni source ya watu kumchukia
Mimi simchukii huyu mzee, kwanza kabisa sijui kuchukia mtu, why nimchukie, ila mimi namuona punguan mwa mambo yake anayoyafanya, mara kaiba picha ya misos kaposti anakula, mara afanye hiv huku anajichekesha, hahahaa.. U know, mara abishane na watoto wadogo.. Mtu fulan anaetenda mambo kinyume na anavyotakiwa.
 
Uwiiiii Cobblepots utaniua mimi jamani....hapo naona kitu cha Boys ii men- dreams daah my fav asee....kwa kifupi hizo ni sindano kali sana na nazielewa vibaya mnooooo.....
!!!
Thanks a lot!! Makaveli vipi hapo unazionaje hizo??
Kwa kwel huyu anafaa kuwa dj wa KF, kanikosha..

Hizi nyimbo nimeziskia nikiwa kwa shululu, zikanifanya nikumisi ghafla, nmeaga bila kupenda. Dj
 
Kaka mkubwa umelenga mule mule lakin hiyo namba 6 umeipeleka mbali sana ilibidi ndo iwe namba 2... Akhsante kwa hii burudani though
 
 
Umeongea point...mimi pia huwa siuumizi ubongo kumchukia mtu...haswaa akiwa hana effect yoyote katika maisha yangu...mbaya zaidi nikiwa simfahamu in reality. Ila nadhan anafanya yale ili kuboost ile brog yake si unajua analipwa pesa mingi mingi
 
Hata huwa ananishangaza sana na vituko vyake,mara aende travertine kwenye taarabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…