makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Huwez jua tu, yawezekana nae bibie imetuna kwa hamu.. Sema tu za wenzetu zina siri zaidi.Itakuwa ngumu kwa biharusi
Unanena.. Utafkiri mr masanja mkandamizaji...Hawa ni 100% Ma Lezbians sio kwa kushikana huko. Toka pepo tokaaaaaa!!!
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Vipo kwa ajili yetuMaendeleo ya mwafrika
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.........
Kwa kukuumbua tu, nakupa like hii comment yako shem lake..Matatizo yake ni kama ifuatavyo
Ubahili wa kutoa likes
Maneno mengi kuliko vitendo
Na mengine tutayajua pindi utakapomkubalia na kuanza kuishi nae.
Nakushauri umkubali sababu ana upendo wa kweli, PESA, pia ni mcheshi
Hapo sawaVipo kwa ajili yetu
Acha dharau nyangema..Kweli aisee
Za basketball
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
We nawe chaunabe.. Mtoto mdogo una nongwa kama nin bhana..hebu pandisha suruali lako kwanza.Bingwa wa mipasho kumzidi Isha Mashauzi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Acha dharau, we muuza makande.Utaweza?
We Kipwe
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.......
Ruliza munkari mi namjua na nimecheki video zake ni Miss Olivia Gieoud .mdogo..... Labda tusubiri miujiza ya Prof WengewengeAcha dharau nyangema..
Hahaa.. Wewe kijana, una maneno kuntu, kazibe pengo la mzee yusphu katika bendi yake.Zee bishi lile utafikiri limezaliwa bombani kwenye foleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutakifukuza kwa uchochezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Hapana kwa kweli...Huu uchochezi
Time will tell.Garasa part2
...............
Kwani hawa viumne walikufanya nini mkuu!!?Zee puuzi km mbuzi
Wakati ni ukuta hakubali enzi zao CC zishakufa kifo cha mende
Nawaona Mchawi na Gentahunter wamerudi kubipu CC
........
Nikusemee kwa ........Hapana kwa kweli...
Usintaftie kifungo cha maisha bhana..