Haha ukipanga kama hivyo huwa haitokei kamwePaul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana
Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki
Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid
Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili
Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani
Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kawaPamoja sana kaka,
Kaz vip lkn
Wat du yu min?[emoji15]Baby...[emoji85] , kaka pia.
Unapendeza sana English figureShape hiyo namba 8 niitoe wap mimi, mi wa hivi aisee.View attachment 382764View attachment 382765
Msalimie sweetieKama kawa
So???Haha ukipanga kama hivyo huwa haitokei kamwe
Mpenzi[emoji87]Baby...[emoji85] , kaka pia.
[emoji15] [emoji39] [emoji39]Shape hiyo namba 8 niitoe wap mimi, mi wa hivi aisee.View attachment 382764View attachment 382765
Sema baba la baba[emoji23]Habari zenu humu ndani?
Salama kabisa my dear friendHabari zenu humu ndani?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji7][emoji7][emoji7], appreciated sana!
Jimena amekupenda sanaaaHaha ukipanga kama hivyo huwa haitokei kamwe
[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji443]Msalimie sweetie
Pouwa, Adje?Habari zenu humu ndani?
Anvyopenda musiki naogopa utaniibia weww[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
Wewe[emoji15] [emoji15]Jimena amekupenda sanaaa
UsimtelekezeSo???
Heeeee hapana cjakuza dada najua umesifia avatar kiroho safi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe[emoji15] [emoji15]
Hebu acha kukuza mambo sasa
Niambie mkuu, mambo ni vp pande hizo?Sema baba la baba[emoji23]
Hamuna!!! Hebu akuye hapa na aseme bolingo yake anamupa nani???Anvyopenda musiki naogopa utaniibia weww