Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Leo katika Historia:
1947 - India yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kawakomesha hadi raha
Una maanisha nini shem?Shemeji jana ulikuwa unabeep tu
Leo katika Historia:
1974 - Alfredo Stroessner anaanza utawala wake wa Mkono wa Chuma ( Udikteta ) huko Paraguay.
Ulikuwa adimu sana hapa jukwaaniUna maanisha nini shem?
Happy Birthday shemeji yetu wa zamani (sisi wapenzi wa music ni shemeji yetu kwa Jlo)Leo katika Historia:
1972 - Ben Affleck azaliwa.
Ni mwigizaji mashuhuri toka Hollywood nchini Marekani.
Na anaonekana kauzuuView attachment 381914View attachment 381915View attachment 381916Dictator original not uchwara
..............
Leo katika Historia:
1960 - Congo Brazzaville yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Leo katika Historia:
1963 - Rais Fulbert Youlou wa Congo anapinduliwa baada ya maandamano ya siku 3.
Leo katika Historia:
1928 - Malcom Glazer anazaliwa.
Ni mmiliki wa zamani wa Man Utd.
Alifariki mwaka 2014.
Leo katika Historia:
1972 - Ben Affleck azaliwa.
Ni mwigizaji mashuhuri toka Hollywood nchini Marekani.
Wanawatafuna sana kwa chumvi.Kwa Kina mbili kimo
Si Jioni KileviView attachment 381914View attachment 381915View attachment 381916Dictator original not uchwara
..............
hahahaha....sawa.Happy Birthday shemeji yetu wa zamani (sisi wapenzi wa music ni shemeji yetu kwa Jlo)
Bado ila kwasasa imetulia.