Makapuku Forum

Legezeni tu misuli hiyo ilegee badae mshindwe ku- lift...hayaa wee haya wee...jipeni moyo tu Jonax na Bitoz
Ni vizuri ukatufahamu mm na Bitoz vzuri.
Sisi ni watu ambao tumejaa masihara sanaaa.

So siyo kila jambo tulizungumzalo hapa linakuwa na ukwel.
Just a kidding
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…