Yaani unachepuka hapa hapa kwenye hii familia... umenikosea sana... nina mwaka hujaniita Kipenzi lakini wengine ni kama pumzi... kiwatengu najua hujaamka ila ukiwa kama mzee uliyehalalisha hii ndoa naomba uje uivunje rasmi niwe single and available na Mali tugawane