Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Asante!!View attachment 365449View attachment 365450
Mpaka hapa basi nimeshakusanya kila kilichomo changu ili nimpishe Mussolin5 atuletee leo katika historia
Ciao!
Leo katika historia:
1975 - Sao Tome and Principe yapata uhuru wake toka kwa Ureno.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Subiri nanihii aje akuquote gazeti zako zote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
Kwa udhamini wa mzee wa Ufufuooooooooooooo na UzimaaaaaaaaaaAsanteni sana, tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Gwajima.
Bye....
Bwana mdogo huyoLeo katika Historia:
1995 - Luke Shaw. Beki wa kushoto wa Man Utd anazaliwa.
Leo katika Historia:
1979 - Visiwa vya Kiribati vyapata uhuru wake toka kwa Uingereza.
Leo katika Historia:
1962 - Julio Cesar Chavez. Bondia wa ngumi toka nchini Mexico anazaliwa.
Leo katika Historia:
1973 - Christian Vieri. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka nchini Italy anazaliwa.