Family, naamini mko poa, ninawaomba radhi kwa kutotimiza jukumu langu kwa wakati, hii inatokana na ratiba yangu iko tight sana. Ninawapenda wote na niliwamiss sana siku ya leo...naamini mtanisamehe..
1) Je wajua?
Hifadhi ya wanyama ya Kruger, nchini Afrika kusini, ndicho kivutio namba moja cha watalii nchini humo, hivyo ndg zangu wa kf upangapo kuitembelea nchi hii upange kuizuru mbuga hii yenye wanyama na uwanda wenye mvuto.