Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Km muhusika HAYUPO inaruhusiwanashukuru,kwa taarifa niwe radhi kwa hili.Ningeomba basi hii pia iwekwe maalum ili ieleweke kwakila mana jamvi kuavoid ikanganyiko kama hii.AHSANTE
Leo katika Historia:
2013 - Mohamed Morsi Rais wa Misri anapinduliwa na Jeshi baada ya siku Nne za maandamano Nchi nzima.
Leo katika Historia:
1962 - Tom Cruise msanii wa wa filamu toka Marekani anazaliwa.
Ni maarufu kwa filamu za Mission Impossible.
Leo katika Historia:
1980 - Roland Schoeman. Muogeleaji kutoka South Africa anazaliwa.
Maandamano huwaga yanasaidiaLeo katika Historia:
2013 - Mohamed Morsi Rais wa Misri anapinduliwa na Jeshi baada ya siku Nne za maandamano Nchi nzima.
Huyu jamaa ni shidaaaLeo katika Historia:
1962 - Tom Cruise msanii wa wa filamu toka Marekani anazaliwa.
Ni maarufu kwa filamu za Mission Impossible.
Leo katika Historia:
1987 - Sebastian Vettel anazaliwa.
Ni mwendesha magari maarufu toka Ujerumani.
Filamu zake zimejaa uwwongo uliotukuka
Leo katika Historia:
1988 - Winston Reida amezaliwa.
Ni mwanasoka wa klabu ya West Ham na Timu ya Taifa ya New Zealand.
Wajerumani wako vizuri kwenye michezo
ushawahi tazama movie zake?Huyu jamaa ni shidaaa
kwa wenzetu ila sio huku kwetu...utavunjwa kiunoMaandamano huwaga yanasaidia
Leo katika Historia:
1989 - Godfrey Walusimbi. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka Nchini Uganda anazaliwa.