Mnazingua mnajua kabisa kuna mpira na muda km huu thread haina cha kujadili ila ikifika baadaye mtaanza kupurukushanaHaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niko jikoni nakaribia kupakua ...mzee wa sport usijali naua mapemaaa
Kuwa mpole dkk kiduchuMnazingua mnajua kabisa kuna mpira na muda km huu thread haina cha kujadili ila ikifika baadaye mtaanza kupurukushana
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
.......
Nasema jana Top Ten ipo leohah
ahahaha...na leo ni weekend
OyoooooooWakuu makapuku pamoja na wageni wanaotukubali sana, ambao wanapita humu kimyakimya wakiogopa kutia neno.
Huu ndio wasaa wa kupitia mambo machache yenye sifa za kipekee kabisa:
JE WAJUA?
(1) Maajabu 7 ya dunia mpya (7 wonders of new world)
Maajabu haya hayajapewa namba au sifa ya kuzidiana, yamewekwa katika mizani iliyo sawa.
a) mnara wa Yesu mkombozi (Jesus redeemer). Huu unapatikana Rio de Jeneiro BrazilView attachment 362294
Wakuu makapuku pamoja na wageni wanaotukubali sana, ambao wanapita humu kimyakimya wakiogopa kutia neno.
Huu ndio wasaa wa kupitia mambo machache yenye sifa za kipekee kabisa:
JE WAJUA?
(1) Maajabu 7 ya dunia mpya (7 wonders of new world)
Maajabu haya hayajapewa namba au sifa ya kuzidiana, yamewekwa katika mizani iliyo sawa.
a) mnara wa Yesu mkombozi (Jesus redeemer).Ulikamilika kujengwa oktoba 12 mwaka 1931 na una urefu wa mita 30. Huu unapatikana Rio de Jeneiro BrazilView attachment 362294
Anza kutupia mwanangu muda umeishaOyooooooo
DaaaAnza kutupia mwanangu muda umeisha
Kibaba hapa siyo rome!!?(2) Maajabu mengine ni ukuta mkubwa wa chinaView attachment 362296
Mkuu siyo kila nilipo naweza kufanya hiyo kazWazee wa Top 10 na Je Wajua muda km huu wanakula bata ikifika SAA 3 wanaanza kugombania muda na mpira ukianza SAA 4, wanasema wtaendelea kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
OkMkuu siyo kila nilipo naweza kufanya hiyo kaz
Alaf leo top ten haipo