Makapuku Forum

Number 10, Marshall Islands


Toka visiwa hivi vipate serikali yake havijawahi kuwa na jeshi la ulinzi

Kuna polisi wachache tuu ambao hufanya doria na boti

Masuala ya ulinzi walisain mkataba na marekan ndo anaye walinda kama ikitokea shda yoyote
 
Number 7 ,Tuvalu

Awa nao wana polisi na wana vifaa vya kawaida kabisa vya ki ulinzi wao hutegemea patrol tuu napo kwa nyakati chache
Wanategemea hawata vamiwa siku yyte wala na mtu yeyote
 
Number 6, Vatican City


Huwa wana lindwa na Swis guards ambao ki uhakika wao kazibyao ni ulinzi katka Holy Sea jiran na Rome
Ki ujumla inaaminika Mungu ndo ana palinda hapa mahala kwa hiyo
Hata hawajawahi kusain mkataba wa kulindwa na nchi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…