Jana niliwaambia........................................
Makapuku tumezawadiwa TROPHY POINTS.....angalieni profile zenu ambaye hajaongezewa basi ana gundu
...........................................
MorningMorning pipoz
One loveShukran issa michuz wetu [emoji4][emoji4]
NetworkHivi ni wanazima simu au network??
Cc shululuKuna mdada hapa kaniuliza kama Arsenal ni series? Nkamuuliza kwanini akanijibu always mashabiki wa Arsenal wanasemaga let's wait for the next seasons [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakizima network, vipi kuhusu sie wenye vitu ORIJINALEE???Hivi ni wanazima simu au network??
U hali gan mkuu?Morning briz
Pamoja sana dadakeOne love
Safi kaka Tupo pa1Niaje chief?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mdada hapa kaniuliza kama Arsenal ni series? Nkamuuliza kwanini akanijibu always mashabiki wa Arsenal wanasemaga let's wait for the next seasons [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa, nafikiri watazifungia network imei namba pekee za hizo simu wanazoziita fekiWakizima network, vipi kuhusu sie wenye vitu ORIJINALEE???
Morning mkuumorning Kapukuzz
kwema tu mkuu natumaini kwema huko pia....Morning mkuu
Pamoja sanaSafi kaka Tupo pa1
Pokea sasaOraita...