Umetisha, makapuku tunatikisaMakapuku itaingia kila chaka na italeta kile ambacho kinatokea kwenye jamii, tutakuwa tofauti na wao wanaoomba ushauri kwa vitu ambavyo havina maana.. Wale wanaoamini ubora wao wakati bado hawapo kwenye viwango.. Kila Jukwaa litatikisika na kukubali kuwa sisi ni makapuku ambao tunawasha kama U.P.U.P.U
Timu ya magazetiNawasubiri vibonde England SAA 4
Lazima nicheki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Jidanganye tu.
Hivi ulipotelea wapi?My [emoji93] [emoji92]
sawa na Taifa Sitaaz
Wauza sura sawa na Bafana Bafana hawatafika mbali
.........
Timu ya magazeti
Week end yani bora tu ipiteNlikumiss
Ulikuwa wapi!!?
Huyu kapuku ana jina gumu sana jamaniNzuri szczedny
HajuiIla Diego anatia huruma...hana bahati
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kama mizizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jina langu gumu kweli
Timu yetu hii majanga sana,kila siku ni vikongwe tu,hata mech za kirafiki wanachaguliwa vikongwesawa na Taifa Sitaaz
Kutamka Sasa ndio utata mtupuHuyu kapuku ana jina gumu sana jamani
Mi kispanishMbongo sema najisitiri na jina la ki poland
Russia anakaa leo. Three lions
Wauza sura sawa na Bafana tu Bafana hawatafika mbali
.........
Mi nikibadilisha jina ntajipa la kirusiMajina magumu yapo Urusi na ukren
Hili nalo ni jipuKwanini ushabikie timu ya Man Utd halafu ukajipa jina la kipa wa Arse8?
Russia anakaa leo. Three lions
Hao wa kibongo muulize manara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Hata km akishindi lkn hafiki mbaliHao wa kibongo muulize manara