Makapuku Forum

Sasa huo msako unaanza lini?

Kwani Watu wote huwa wanaenda kazini asubuhi tu au?

Hahahahah
Mkuu nimeona maongezi yako na shemeji yangu hapo juu nikaona si mbaya nikikujulisha azma ya serikali juu ya jambo hilo utapewa muda wa kujitetea lakini utakuwa huko Central then ukithibitika wewe unafanya kazi usiku utaachiwa teh teh teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…