Leo pumzikaMsingi wa sheria ni vifungu na kesi
Kwa leo nimechoka but namumbuka ni "mtoto chini ya 18yrs ndo anaolewa kwa ruhusa ya wazazi " sio 15 yes nikiwa FREE basi kesho nitaitafuta LAW OF MARRIAGE ACT (sheria ya ndoa Tz) ninayo kabatini
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
.........
[emoji175] [emoji177][emoji7] [emoji7] [emoji131]
ThanksAsante my Wii
Usiku mwema na kwako pia
Hahahaa nyie njaa hamna?Ingawa mna njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Walimu oyeeeeeeeDuuuh sisi maticha. Hii couple lazima idumu
Bakora ndo dawa yaoWalimu oyeeeeeee
Muache kutembeza bakora kwa madogo....msije 7bisha sugu makalioni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Ndio ivoLeo pumzika
Kesho utuwekee
Sisi tumeshiba rushwaHahahaa nyie njaa hamna?
Sisi tumeshiba hela za tutionSisi tumeshiba rushwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Mbona hivi sasa
Nilikuwa sijuiWameongeza 15 days nasikia
Kwahiyo tunapeta tu
........
Tuisheni imefutwa km vipi muibe chalk & vitabuSisi tumeshiba hela za tution
Nini babeMbona hivi sasa
Hahaaaa tunauza na vishetiTuisheni imefutwa km vipi muibe chalk & vitabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Mna roho ....mkienda shule za vijinini mtarogwa ww na Lizzytajikuta mmelazwa uchi nje asubuhiBakora ndo dawa yao
Hilo tangazo la TCRA babyNini babe