Mkuu asante sana, Mungu alituumba na roho safi, ikiona roho mbaya kwa mtu ni shetani kachafia tu lakini kina fursa ya kubadilika mkuuNawapenda wote jamani japo maisha ni mafupi lakini duh. ndo hivyo sina la kufanya zaidi ya kuwatakieni heri na baraka tele. AMEN.
CC:makapuku wote kina @cobblepost sumbai youngblood Bitoz jambilo Mussolin5 PNC 1 manuu lizziebettie Jimena amaizing Szczesny EMMYGUY Valentina Th Name na wengineo wengi....japo kuna wengine wana roho mbaya.
YaaaniSi kasema kuna watu wana roho za korosho
Wkt yy hajawahi kutoa hata kaLIKE ka1
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Mi namjua kila Kapuku .....Hahaha
Kanchesha sana pale mwishoni
HahahaNa penati wakakosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi namjua kila Kapuku .....
Najua hadi ambao hawatoi likes kabisa ninachofanyaga ni KUWAKAUSHIA TU (Swapagi likes)
Kauzu zaidi ya dagaa
Yanga zaidi ya Simba
Bahili zaidi ya mchoyo
Tozy zaidi ya Bishoo
Kiburi zaidi ya jeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jwtz zaid ya polisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiherehere zaidi ya kidomodomo
.........
Mpende adui yakoMi namjua kila Kapuku .....
Najua hadi ambao hawatoi likes kabisa ninachofanyaga ni KUWAKAUSHIA TU (Swapagi likes)
Kauzu zaidi ya dagaa
Yanga zaidi ya Simba
Bahili zaidi ya mchoyo
Tozy zaidi ya Bishoo
Kiburi zaidi ya jeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
........
Ata kuua ukimpendaMpende adui yako
Kwenda hukoMpende adui yako
Tutaongeza moja usijaliOhoooo
Wamelipaaaa
Uwiii
Hawa Vyura wamesawazisha basi sasa wamepata la kusema
Real[emoji637] :[emoji637] Atletico
........
Hawantsh awa watafungwaTutaongeza moja usijali
Hawa Vyura wamesawazisha basi sasa wamepata la kusema
Nashukuruamen
Ni kawaida tu kiongozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sentesi ya mwisho hyo ume niacha hoi
Hiyo ni visual impression tu kiongozi....it doesn't have any thing to do with ROHO MBAYAKm wewe HUNA ROHO MBAYA gonga kwanza LIKES page nzima
Tuanzie hapo
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
........
Nami nawapenda zaidi...Mie na manuu tunakupenda sanaaaa
Pamoja sana[emoji120] amen
Kabisa kabisa cc: Bitoz nakuahidi kuanza ku-like post zote kwa speed ya GAMMA shaaaaa...ila mimi sina roho mbaya ni mazingira tu ndo yananiponza...Mkuu asante sana, Mungu alituumba na roho safi, ikiona roho mbaya kwa mtu ni shetani kachafia tu lakini kina fursa ya kubadilika mkuu
" KARMA" What's goes around comes aroundKwenda huko
Malipo hapahapa
Mtu mwenyewe Fake Pastor
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hawantsh awa watafungwa
Hata ki nape tuu ( yaan la mkono)
Ukimwaga ugali namwaga mboga na bakuli sikupi" KARMA" What's goes around comes around